Rais sio mtanzania?kuhusu hili la katiba mpya nimewasikia viongozi - TopicsExpress



          

Rais sio mtanzania?kuhusu hili la katiba mpya nimewasikia viongozi wote wa ngazi ya juu wa nchi hii wakitoa maoni yao vipi maoni ya Rais sijayasikia na zoezi linaishia nilipendasana kumsikia akizungumzia suala la madaraka ya Rais maana kuanzia wakuu wa wilaya wamikoa majaji wakurugenzi sijui mtu huyu mmoja anaweza je kuteua watu wotehawa mawaziri hadi wabunge wakuteuliwa jamani anaongozwa na Mungu?
Posted on: Thu, 29 Aug 2013 19:28:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015