Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho - TopicsExpress



          

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameonyesha wazi kuwa analiwazia mema Taifa letu na analitazamia mema Taifa letu kutokana na Hotuba yake tukufu aliyoitoa kwa Taifa jana mimi binafsi nawaomba watanzania wenzangu tujiepushe na tabia mbaya ya kuiwazia mabaya serikali, kuitazamia mabaya serikali na kuinenea maneno mabaya serikali kwani waliopo serikalini ni binadamu na hawawezi kuwa wakamilifu kwa asilimia tunazotaka wote, ndio maana kuna vyama vingi ili kila chama kipiganie kuingia madarakani na kufanya yale mazuri ambayo Taifa linayataka. Tujifunze kuiunga mkono serikali katika kipindi chote tuliyoipa nafasi ya kutuongoza ili ifanye vizuri, lakini tunapochagua viongozi na kisha kuwashambulia ndani ya kipindi chao cha uongozi inaonyesha watanzania hatujitambui.
Posted on: Sat, 05 Oct 2013 06:16:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015