Rwanda na Uganda zitajitoa rasmi kutumia Bandari ya Dar es Salaam - TopicsExpress



          

Rwanda na Uganda zitajitoa rasmi kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia Septemba Mosi, mwaka huu - Yadaiwa Mizani ni mingi pia kuna usumbufu katika kupima mizigo yao na kwamba hali hiyo inawaletea usumbufu wafanyabiashara wengi barabarani - Vitendo vya askari wa usalama barabarani kudai rushwa pia ni miongoni mwa vikwazo pamoja na urasimu mkubwa katika utoaji wa mizigo bandarini ikilinganishwa na bandari nyingine #JF
Posted on: Thu, 22 Aug 2013 05:28:58 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015