SEHEMU YA TATU. BAADA YA KUGUNDUA NINI CHA KUMUUZIA BAKHALESA - TopicsExpress



          

SEHEMU YA TATU. BAADA YA KUGUNDUA NINI CHA KUMUUZIA BAKHALESA SASA TUNAWEZA KUENDELEA. 1.PESA BILA NIDHAMU HUWEZI KUFANIKIWA.NA PESA ZINAWATU WAKE SIO KILA MTU. HEBU TAZAMA HUYU MTU .JAMAA MMOJA ALIPEWA TSH MILIONI MIA MBILI .NA ILIKUA NI MARAYAKE YA KWANZA KUKAMATA PESA KAMA HIYO. .AKANUNUA GARI YA MILIONI HAMSINI KWA AJILI YAKE. .PIA AKANUNUA NYINGINE KWA AJILI YA WAPAMBE WAKE. .AKABAKIWA NA MILIONI MIA NA MILIONI 100 .JAMAA AKATAFUTA MADEREVA WAWILI KWA AJILI YA KUPOKEZANA. .AKATAFUTA NA WALIZI WATATU ILI ASIJE AKASUMBULIWA. .NDANI YA MIEZI MIWILI ALIWALIPA JUMLA YA MILIONI 5. JAAMAANI AKAONA HUU NDIO WAKATI WA KUPANDA NDEGE .AKAKODI FASTJET MILIONI 10 HADI NGORONGORO AKIWA NAWAPAMBE WAKE WANNE NA YEYE WATANO NDANI YA NGORONGORO WAKATUMIA MILIONI 5. AKABAKIWA NA MILIONI 80 JAMAA HAKUWAI KWENDA CASSINO .HUO NDIO ULIKUA MUDA WAKE. .PAMOJA NA WAPAMBE WAKE NA KILA MMOJA AKIWA NA CHANGUDOA.WALITUMIA MILIONI 5 . MATUMIZI YA KAWAIDA NDANI YA MIEZI MIWILI AILITUMIA MILIONI 10 .SHOPPING AKIWA NA WAPAMBE WAKE ALITUMIA MILION 5 .MAFUTA YA GARI MBILI KWA MIEZI MIWILI MILIONI 2 .AKABAKIWA NA MILIONI 58 .JAMAA AKANUNUA NYUMBA MILIONI 50 .MILIONI 5 AKANUNUA VI2 VYA NDANI MFUKONI AKABAKIWA NA MILIONI 3 AKAFUKUZA WALIZI NA MADREVA WEZI WAKAJUA BADO ANAZO PESA WAKAJA WAKAMALIZIA MILIONI 3 .JAMAA AKAUZA GARI MOJA KWA BEI YA KUTUPA.NA IKABAKI MOJA KWA KUWA ALISHA ZOEA MATUMIZI MAKUBWA PESA IKAISHA. AKAUZA GARI YA PILI, PESA ILIPO ISHA AKAUZA NA NYUMBA NA KUPANGA CHUMBA KWA MIEZ 6. UMEONA EEE. KAMA WEWE NI MJANJA KWELI HEBU NIJIBU ..KAMA PESA ZINA WATU WAKE .KTK HII STORI WENYE PESA ZAO NI YUPI NA YUPI? .LAKINI UKISHINDWA NITAKWAMBIA. USHIRIKI WAKO NDIO MAFANIKIO KWA VIJANA.
Posted on: Tue, 06 Aug 2013 22:40:52 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015