SEMENI KUTETEMEKA. Leo ndio nimejua kuwa enyewe safaricom huwa - TopicsExpress



          

SEMENI KUTETEMEKA. Leo ndio nimejua kuwa enyewe safaricom huwa wanatetemesha. Nimekuwa nikiskia iyo stori bt sasa nimejua ni ukweli. Hapa nimekaa na Kizee kingine kimevaa T-shirt ya Safaricom na nimeona kwa Mkono yake ka ameshika Grenade. Tunaomba na ameingia tu sa e so hakuna m2 mwengine amemuona ispokuwa mimi ju huwa sifungi macho. Kunigusisha waist yake ni kaa nimeskia Revolver hapo. Sasa hapa nimetetemeka mbaiya saidiii ndio nishinde Millioni Kumi. Nataka kuambia kila m2 mwenye ananidai akujie pesa by evening ju sasa nimekuwa Millionaire na Siringi. Ningependa pia kuambia mafans wategee 2 tym yao itafika kama yangu.
Posted on: Sun, 25 Aug 2013 08:54:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015