SHARED STATUS Inahusu Utafiti Ulioandikwa na Gazeti la Mwananchi - TopicsExpress



          

SHARED STATUS Inahusu Utafiti Ulioandikwa na Gazeti la Mwananchi wiki hii kuwa Rais Kikwete anapendwa zaidi na wasiosoma (illiterate population) Jamaa Mtanzania Halisi amefanya hesabu zake hapa, kwamba... Kama, Wanaompenda = wasio na elimu Na , Wanaompenda = maCCM zaidi Hivyo basi : maCCM = wasio na elimu (uneducated kwa tafsiri tofauti na kuwa na vyeti) Na kama maCCM yapo Serikalini, matokeo yake: Hivyo: Nchi inaathiriwa na Wasiosoma (unaeducated kwa tafsiri tofauti na kuhudhuria darasani) Majibu ya hesabu hii tunayaona; - 1. Zaidi ya 80% ya form 4 walifeli 2. Ni 15% tu ya watz wanapata umeme 3. Zaidi ya 70% ya watz hawana maji ya bomba 4. Tz inapata 3% tu ya mlahaba,mauzo ya dhahabu/madini 5. Wilaya zenye madini mf. Mwadui,Geita ndizo maskini zaidi 6. Tuna Tanzanite , Kenya ndiyo inasifika kwa kuuza Tanzanite duniani 7. Twiga wanapanda ndege bila intelejensia na CCTV camela kuona, 8. Tuna Nickel kule Kabanga,ya 3 kwa wingi duniani..lkn hakuna mtz anayenufaika. 9. Tuna gesi nyingi maeneo ya Pwani,Mtwara ..lkn mikataba 18 imeshainiwa!!! bila kuwajali wamakonde /wazawa. 10. Bandari inajegwa bangamoyo (japo hatuihitaji sana) lkn itamilikiwa na wachina kwa miaka 50!.. wakiwa free ku-import..free ku-export!!!!. 11. na upuuzi mwingine kibao
Posted on: Sat, 19 Oct 2013 08:24:08 +0000

Trending Topics



t:0px; min-height:30px;"> A few screenshots from last night, you certainly made the last

Recently Viewed Topics




© 2015