SIMULIZI; #USIKATETAMAAUNAPOAMBIWAJAMBO LOLOTE; SEHEM;1 - TopicsExpress



          

SIMULIZI; #USIKATETAMAAUNAPOAMBIWAJAMBO LOLOTE; SEHEM;1 SIM;0654253834 Mwaka 2001 kulikuwa na kijiji kimoja katika mkoa wa shinyanga wilaya ya kaham" kijiji cha Masumbwe. Kulikuwa na mzee mmoja anaeitwa mzee john. Mzee huyo alikuwa na familia ya watoto watatu" Mzee john alikuwa akifanya kazi wilayani kahama katika kiwanda cha Ndegesela. Ukiwa kijijini hapo mzee huyo alibahatika kupendwa na majirani zake na pia alikuwa mtumishi wa kanisa hapo kijijini. Mzee john aliipenda familia yake sana katika familia hiyo kulikuwa na kijana wa kiume mkubwa aitwaye Masha. Mzee john alimpenda sana mtoto huyo masha kwani alikuwa akiishi pale nyumbani kwa baba yake. Siku zilipita mzee john alimuita kijana wake masha na kumpatia mtaji wa milioni tatu. Masha alifurahi sana na kuanza biashara ya maindi" kutoa masumbwe na kupeleka wilayani kahama. Miezi ilipita mtaji wa masha uliongezeka na kufikia milioni7 Masha alifurahi sana na kuludi nyumbani**JE? UNAJUA MASHA ALIPOFIKA NYUMBANI KILIMKUTA NINI #LIKE ILI ISONGE MBELE
Posted on: Sat, 14 Sep 2013 17:19:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015