SOKONI Mwanamke anayeuza tomato anapanga hizo nyanya vifungu vya - TopicsExpress



          

SOKONI Mwanamke anayeuza tomato anapanga hizo nyanya vifungu vya Kumi na vya ishirini. Vifungu vya Ishirini anaweka mbele na vya kumi anaviweka nyuma. Kisha anaanza kutangaza...... "MBELE ISHIRINI, NYUMA KUMI.... MBELE ISHIRINI... NYUMA KUMI........!!!" Mlevi aliyekuwa akipita anaskia... anatabasamu na Kusongea kibanda.... akatia mkono mfukoni mwake na kuto vipeni... akahesabu kisha akatabasamu na kusema "Nina bahati nina 30bob.... nitapewa mbele na nyuma...." Muuzaji naye hakusikia maneno ya mlevi... akamwambia..."chagua!" Mlevi akasema... "SITACHAGUA.... NAKUPA 30BOB NIKUTIE MBELE NA NYUMA"....
Posted on: Sat, 29 Jun 2013 12:18:18 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015