SOMA HUENDA UKAFAIDIKA TAFADHALI: Yaani angalia mambo haya: Mola - TopicsExpress



          

SOMA HUENDA UKAFAIDIKA TAFADHALI: Yaani angalia mambo haya: Mola atulinde, amiin. Watu siku hizi hulewa mpaka wakaanguka, na kuzimia, wakati wa Mtume watu Husoma Quran mpaka wakazimia kwa kumukhofu Allah, Watu siku hizi huchukuwa wake za watu kwa $$ na kwa maneno ya ulaghai , wakati wa Mtume watu baada ya kusikia "hamjaamini mpaka mutoe mnavyo vipenda Maswahaba walikuwa tayari kuwawacha wake zao wale waliokuwa na zaidi ya mke mmoja, ile waolewe na watu wengine, hali ya kuwa hawakuifahamu hii aya, sivyo ilivyokusudiwa. Watu wa siku hizi wanatumia pesa kwa maasi huwezi kuamini yaani "SubhanaAllah (yaani inatisha) wakati wa Mtume watu wanataka kutoa mali zao na fedha zao fii Sabilillah" Mpaka Mtume anabishana na wenye mali yaani, Mtume anataka warejeshe wasitoe zote. (kuna habari moja huku uarabuni watu tena waislam, waliwahi kutumia fedha, ukiambiwa unaweza ubongo wako uka freez hivi yaani, kwa kutunza wanawake wanaocheza na vibarangasha na belly dance. Watu wa siku hizi wapo tayari kuutukana Uislam na kuu kashifu Uislam, "yaani hao Waislam wenyewe" Wakati wa Mtume baadhi ya walio si Waislam wana walinda Waislam na Kui defend hii dini ya Kiislam. Mola atulinde kwa sote InshaAllah.
Posted on: Sat, 05 Oct 2013 17:48:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015