STORI SEHEMU 19...alikaa bila hata kuwa na raha kwan mkewe - TopicsExpress



          

STORI SEHEMU 19...alikaa bila hata kuwa na raha kwan mkewe alimzalilish sana kwakutembea na Mgoli. Baada ya kumaliza shughuli zao za maandalizi ya harus,giza lilianza kuingia mfanyakaz wa ndan aliwait kwajili ya chakula kwan ilikuwa ni usiku na mama yake Quris alikuwa hajarudi. Walikaa mezani kupata chakula cha jion,wapendanao walikuw wakilishana na kucheza wakat wa chakula,baba yake aliwangalia sana na kuon upendo ndan ya mioyo yao. Muda sio mrefu waliskia geti likifunguliwa na aliyeingia ndan alikuwa ni mama Quris kisha alikuwa amekunja sura na kupita kuelekea chumban kwake baada yakuwaon baba,Quris pamoja na Mgoli wako pamoja. Mzee alimuita mkewe na kumwambia akae pale kwani anamaongezi nae,alikataa na kumwambia >we mzee kama unashida na mimi nifate chumbani mxiuuu!< aliinuka kwa hasira na kumfata chumban,iliskika sauti ya mtu akiomb msaada kwan alikuwa amezidiwa,Quris kwenda alimkuta baba yake amemkalia juu mama yake huku akiwa ameshka enga ya kuwekea ngua akitaka kumpiga nayo kichwan. Waliwamua ugomvi ule,mama yake alikuwa akija juu akidai kuachwa auliwe,walitengana vyumba na kila mmoja alikaa chumba chake. Usiku Quris alikumbuka kuwa kitu kimoja wamesahau katika ndoa ambacho ni kupima damu zao,mgoli aliogopa sana kupima virus vya ukimwi ila kwakuwa amepend haina budi kwenda kucheki afya siku iliyokuwa inafuata. Siku iliyofuata ilikuwa ni ijumaa na jumamosi ndo ilikuwa ndoa,waliamka na walipomsalmia mama hakutaka kuskia wala hakujibu chochote na kuwa mkali,walibaki wakicheka tu kwani alikuwa mjinga kufanya vile kwan mambo yao yanaenda kama kawaida. Walijiandaa kuelekea hospital kucheki afya kwan kilikuw kitu muhimu sana kwao. Baba yake Quris aliwasapoti kwa kila kitu kwan alianza kuwalika wafanyabiashara wenzake na ndugu waliokuwa mbali na jiji la dar walianza kuwasili kwa ajili ya ndoa japokuwa alikuwa mtu mwenye mawazo sana kutokana na swala lile, hata kweny swala la kupima Afya aliwapeleka mpaka hospitali,walipofika folen ilikuwa kubwa san kupelekea wao kusubiri japokuw wote walikuwa na wasiwasi.itaendle
Posted on: Mon, 04 Nov 2013 18:53:24 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015