STORI YA ANGOLA NI YA URONGO: Sio munasibu kwa muislam - TopicsExpress



          

STORI YA ANGOLA NI YA URONGO: Sio munasibu kwa muislam kusambaza habari bila kujua chanzo chake Jiulize hizo habari katoa nani? Toka jana kulikua na stori kua Angola imepiga marufuku uislam na kuvunja misikiti. Habari hii ni urongo na uzushi au zimeongezwa chumvi nyingi. Haya ni maelezo kutoka kwa Mufti wa Zimbabwe ambaye kauli yake sio tu inasikilizwa na waislamu wa Zimbabwe bali wa chi za kusini mwa Africa na nchi zinazoongea English duniani. Maneno yake Haya hapa kutoka ktk Page yake rasmi ambapo alikua akijibu coment za watu waliokua wakiliongelea hilo: Mufti Ismail Menk ANGOLA STORY UNTRUE. Upon verification from Angloan scholars it was found that the story of Islam being banned in Angola is completely fabricated. Sadly, the demolition of all structures that were built without proper documentation, planning, procedure etc was carried out. This happened to include some religious structures too, amongst them a Masjid. Interestingly the picture doing its rounds is not even from Angola but the Middle East. This happened quite some time back but is being carried mischievously by some media houses. It is important that Muslims only build Masaajid after proper approvals etc to avoid this. It has happened in other countries before. Please clarify the truth with those who have become emotional about the so called banning of Islam in Angola. May Allah Almighty grant us a lesson and safeguard the Deen. Aameen Like · 46 · Yesterday at 00:33
Posted on: Wed, 27 Nov 2013 12:51:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015