STORY """""#MREMBO_WA_FB""""""""""""""""""" SEHEMU - TopicsExpress



          

STORY """""#MREMBO_WA_FB""""""""""""""""""" SEHEMU YA 12 ILIPOISHIA Honoratha Mtui aliwaita katika kikaa kidogo kilicho kua kinahusu mambo ya kazi walionge mengi kisha akawaambia kua kesho ningependa nifurahi na nyinyi katika birthday yangu walimaliza kikao pale kila mtu aka rudi katika kitengo chake cha kazi Phily Kijana Mjanja alikua ana hamu ya kujua kwenye bahasha kuna nini aliafika ofisini kwake na kuamua kuifungua ile bahasha aliyo pewa na #WEMA yule sekretari wake honorata phily akuamini alichokiona ndani je unajua phily aliona nini ENDELEA SASA phily alivyoifungua ile bahasha alikutana na hela nyingi sana alizitoa akazihesabu haraka harak zilikua kama shiling laki 8 hivi kisha kulikua na kikaratasi kimeandikwa huo ni mwamnzo 2 bado sana ila ukitaka kufaidi vingi naomba uachane na honorata phily akawa anawaza sana kuhusu ilo swala akasema akimsaliti honorata kazi atafukuzwa ila wazo lilimjia akajikuta anasema huyu nitaenda naye hivyo hivyo nitamdanganya nisha achana naye ili mm nimle hizo hela zake kesho yake ilifika baada ya kumaliza kazi walienda kwenye part ya birthday walikua wamenunua zawadi kwa ajiliya honorata walianza kufurahi pamoja huku wakinywa sana pombe walifanya shamrashamra pale sana ila phily aliamua kumtengenezea honorata keki kubwa ya ngazi 24 na keki hiyo aliitengeneza mtaalau mmoja ambaye ni Methew Mnywaima huyo kijana ndo alimtengenezea phily awadi hiyo keki ulifika wakati wa zawadi kila mtu alito zawadi alizoleta ila phily alikua wa mwisho ulifika wakati wake mara akato kibox alichokua nacho akakifungua kisha akakimkabidhi honorata kuangalia ndani akuamini macho yake alikutana na keki hiyo aliamj kuitoa pale kila mtu akaiona walipiga makofi na kushangilia sana ila #wema akuonyesha furaha maana alibadilika gafla kuona vile honorata aliita ile keki kisha kuanza kumlisha kila mtu ilifika zamu ya #wema kwenda kulishwa keki ila alikataa na kusema kua akinywa pombe kisha kitu cha sukari waga anatapiuka ila honorata akamwambia nitakuekea uende nayo home #wema alizidi kuumia sana pale honorata alivyo kata keki kishaa akaiweka mdomon mwake kisha kwa maringo na madaa yote kwa keli hono alikua kabarikiwa hata kama unaona na danganya nenda katika profile yake alimsogelea phily akamkumbatia pale kisha akamlisha keki kwa njia mdomo kwa mdomo hapo wema ndo aliumia sana watu walishangila sana kisha wakawapiga picha sana waliendelea kusherekea pale walikunya pombe wlianza kucheza mziki pale na aliye fungua mziki alikua ni MC Semeni Senene alianza kucheza kwanza na phily kisha wote wakajichanganya ila kiukweli wema alikua ajafurahi alicheza tu pale phily alicheza sana na honorata michezo ya kila aina kumbe katika pati hiyo kulikua kumealikwa watu wengi sana wakiwemo masela wake phily akina #de__fiqx ,,,#kitaa ,,,#ndengu ,,#mdosi ,,#emmanuel_ndocha ,,#emma #ezra #macha na #canty mbali na masela honorata alikua kawaalika pia mabest za aliomaliza nao chuo walikuemo akina #doric,,,#angel_temba ,,#noryn ,,#flora ,,#soonia #janeth_charles walifika walkuta disco likisonga mbele walifika walikaribishwa pale walikunya na wao huku wakionja kekeki kisha kucheza watu walikua wengi sana pale kwa hiyo honorata na phily wlikua ktkt sana walikua wakicheza na mara wapigane denda wemaaliamua kutika na kwenda chooni phily alimuona alicheza cheza kidogo kisha akamwambia honorata ngoja nikakojoe narudi waliagana pale honorata pia alichukua muda huo huo kuwasalimia waalikwa walio fika muda huo phily alimkuta wema akilia akambembeleza sana akamwambia kumbuka kua huyo ndo bosi wako na alikua mpenzi wangu kwa hiyo siwezi kumuacha gafla wema alikubali akawa ameridhika ila phily akuamua kumuacha hivyo hivyo alimsogelea wema akaanza kumnyonya mate akampapasa sana pale kisha akarudi akiwa anarudi akakutana na honorata wakalianzisha tena kucheza waliacheza sana balaa likaja kutokea pale #PHILY na #HONORATA walivyokua wakicheza mbele ya akina ange angela alizania anaota kumwona phily akimnyonya hono mate akashindwa kuvumilia akajikuta akisimama na kuwasogelea aliamua kumwita phily kwa jina lake tena kwa mshangao mkubwa akseam phily......!!!!!!!!!!!!!! phily kugeuka na kukutan macho kwa macho na Angel Temba alibaki apigwa na butwaa angel akamwambia ndo umeamua kunisaliti au vipi honorata kusikia vile una jua nini kilifuata................. usikose baadaye saa 2 usiku GONGA LIKE KAMA TUPO PAMOJA
Posted on: Mon, 19 Aug 2013 05:39:30 +0000

Trending Topics



gin-left:0px; min-height:30px;"> Black Friday 2013 Digital Family Watch Mobile Phone Quad Band
O homem mau, o homem iníquo tem a boca pervertida. Acena com os

Recently Viewed Topics




© 2015