STORY......kasheshe la mama mwenye nyumba MTUNZI.......cox dawa - TopicsExpress



          

STORY......kasheshe la mama mwenye nyumba MTUNZI.......cox dawa yao Ilopoishia Nilikuwa najiandaa kutoka nikakutana na mtto wa mama mwenye nyumba akaniambia anataka aongee kitu na mimi nilijitahidi kumkwepa lkn akakomaa hadi nikakubali swali la kwanza aliloniuliza ni kuwa mm na rafiki yako queen tupo vipi? Endelea SEHEMU YA 51 Nilishangaa sana yule binti alivyoniuliza lile swali nikajua tu ni mama yake kashamwambia nikahisi au msela wangu kanigeuka kamwambia zile habari na mimi nikamuuliza "kwann umeniuliza swali kama hilo? Akaniambia"kuna stori nimezisikia ndo maana nimekuuliza ili uniambie ukweli" nikamuuliza "umeskia stori gani?? Akaniambia "nimeambiwa wakati mimi nipo shule alikuwa anakuja hapa mara kwa mara mnaingia naye hapa gheto kwenu na tayari umeshamgonga" Nikaguna kwanza nikamwambia "yule rafiki yako kweli alishakuja hapa kunisalimia mara moja tu na hatukufanya kitu chochote kibaya waliokuambia wamekudanganya" akaniambia"huyo aliyeniambia ni mtu ninayemuamini hawezi kuongea uongo na hajawaona hapa tu kuna sehemu kibao tu alishawahi kuwaona mkiwa pamoja" yani nilijitahidi kumdanganya lakini nikaona hanielewi nikamwambia" mimi kuna mahali nawahi nna kazi tutaongea baadaye nikirudi" akaniambia"pouwa nakusubiri ila lazima uniambie ukweli leo la sivyo yatakuwa mengine na yule rafiki yangu sasa hivi namfwata na yeye akaniambie ukweli hamuwezi kunizunguka mimi" alinipa vitisho vingi sana lakini hata sikuogopa nikajifanya sijui kama yeye katembea na rafiki yangu ila nikasema nikirudi tu huko akiendelea kunizingua ndo na mm ntapasua jipu ili aibu iwe kwake Tulikubaliana tutaongea badaye mm nikaondoka zangu nikamuacha yy anaendelea na shughuli zake nilivyotoka nje nikampigia simu yule rafiki yake nikamwambia "skia shemeji rafiki yako ameshaambiwa kuwa mimi nna mahusiano na wewe na amepanga mda huu huu anakuja kwenu kukuuliza haya mambo sijui utamjibu nn kwa hiyo ujipange jinsi ya kumwambia" akacheka sana alafu akaniuliza"kwan wewe umemjibu vipi?? Nikamwambia" mimi nimemwambia wewe ulishakuja hapa gheto mara moja kunisalimia ila hatukufanya chochote" akaniambia"cox mbna unakuwa muoga hivyo unaendeshwa na mtto mdogo kama yule mimi akija hapa nitamjibu hivyo hivyo kma wewe ila akiendelea kuleta mdomo nitamuambia ukweli wote na hawezi kunifanya chochote" nikaona sasa hili balaa nikawaza hawa mabinti wasije wakapigana mwisho wa siku mtaa mzima wajue mm natembea nao na jimama wangu na mama mwenye nyumba wakijua nikajua utakuwa bonge la msala ikabidi nianze kumpanga asilete fujo yyte aongee naye kiustarabu tu nikamwambia"akija hapo we mjibu kiustarabu tu usimjibu vibaya anaweza na yeye apaniki mpigane mama yake akijua mimi nitafukuzwa kwenye ile nyumba" akaniambia"pouwa mpenzi sitafanya hivyo ila mm kukuacha wewe siwezi labda yeye ndo aniachie japo nimemuingilia" tuliongea pale hadi akanielewa lakini kwa mimi nilivyowajua wale mabinti nikajua lazima tu wapigane sababu wote walikuwa watata nilianza kujiandaa kwa ajili ya kwenda kwa demu wangu wa saluni sms kutoka kwa yule rafiki yake binti wa mama mwenye nyumba iliingia nilivyosoma nilidata Itaendelea Leo saa 1 GONGA LIKE KAM UMEIPENDA HII STORY
Posted on: Tue, 02 Jul 2013 09:44:46 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015