STORY.....mrembo wa ajabu MTUNZI.......cox dawa - TopicsExpress



          

STORY.....mrembo wa ajabu MTUNZI.......cox dawa yao Ilipoishia Nilizidi kumuangalia yule mrembo nikawa namkonyeza akawa ananichekea nikaanza kuogopa nikajua anaweza akawa ni yule mrembo wa ajabu kajibadilisha lkn nikasema liwalo na liwe nikamfuata hadi alipokaa Endelea Sehemu ya 7 Uvumilivu ulinishinda nikasema liwalo na liwe nikamfuata yule mrembo hadi pale alipokaa nikavuta kiti nikakaa karibu naye tukasalimiana pale nikajitambulisha nikamwambia"mimi naitwa cox mrembo sijui mwenzangu unaitwa nani?? Akatabasamu kidogo akaniambia"Mimi naitwa Aisha nashukuru kukufahamu" na mm nikamjibu" na mm pia nashukuru kwa kukufahamu vipi unaishi wapi na umekuja na nani kwenye hii party?? Akaniambia"mimi naishi hapo tu mtaa wa pili hapa nimekuja na rafiki yangu sema yeye kakaa kule mbele na mpenzi wake" nilifurahi sana kusikia vile nakuona mrembo mzuri kama yule ananijibu bila hata kuniletea pozi wakati ndo mara ya kwanza tumekutana pale nikamwambia"basi itakuwa vizuri mimi na ww tukipeana kampani kwa leo" akaguna kidogo akaniambia"poa haina shida nashkuru kwa kampani yako" basi tulikaa meza moja pale tukawa tunakunywa huku tunapiga stori na wale rafiki zangu mda mrefu walikuwa washakutana na wanawake wao wakawa wanacheza nao mziki nikamuomba yule mrembo tucheze naye akakubali sio siri yule mrembo alikuwa anajua sana kucheza na kile kinguo alichokivaa nikajikuta napagawa kabisa lile wazo la kusema kuwa ndo yule mrembo wa ajabu aliyenitokea nikawa sina kabisa pale nikawa nafikiria ni jinsi gani ya kumdanganya ili niende naye gheto akanipe raha Lkn nilishangaa sana kwenye ile party nilimuona yule mwanamke ambaye rafiki zangu walimuopoa hadi majanga yakatokea gheto nilimfwata nikamsalimia na yeye alishangaa sana kuniona akaniambia"hivi kaka yangu siku ile pale gheto kwenu nini kilitokea mbna mimi sikuwaelewa hadi nikahisi mmechanganyikiwa na wale rafiki zako kwanini walitaka wafanye mapenzi na mm wote wawili?? Nikamwambia"tutaongea badaye party ikiisha dada mimi nipo na mpenzi wangu atakasirika" sikutaka kumuambia chochote yule mwanamke nikamtumia rafiki yangu mmoja meseji nikamwambia nimemuona yule mwanamke wao waliyemuopoa akaniambia"yuko wapi nataka nionane naye nimuombe msamaha nikamgonge leo siku ile sikuambulia chochote kama yeye mchawi tutajua leo" nilishangaa sana kuona rafiki yangu pamoja na majanga ya ile siku bado tu hajakoma anataka kumbeba tena yule mwanamke nikamuelekeza alipokaa akamfuata Mimi nikarudi kwa yule mrembo nikaanza kumbembeleza nikalale naye gheto kwetu akaniambia"itakuwa sio vizuri tumekutana leo tu alafu tukalale wote tufanye siku nyingine" niliendelea kumpanga pale kwa maneno matamu ili mradi tu akubali niende naye gheto na rafiki yangu akawa na yy anaongea na yule mwanamke sikujua wanaongea nini Je yule mwanamke alikubali kuondoka tena na rafiki yangu?? Yule mrembo alikubali kuondoka na mimi?? Mrembo wa ajabu hakututokea tena?? Ukitaka kujua yote hayo usikose kuifuatilia hii stori kesho saa 5 asubuhi GONGA LIKE/SHARE/KAMA UMEIPENDA HII STORY ukitaka pia comment
Posted on: Thu, 29 Aug 2013 21:23:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015