STUPID QUESTIONS WELL ANSWERED! A guy walks into a kinyozi and - TopicsExpress



          

STUPID QUESTIONS WELL ANSWERED! A guy walks into a kinyozi and the kinyozi asks "unataka kunyolewa?" the guy answers, "Hapana, nataka kunyonya!" 2. You’re asleep then someone nags u till u wake up then they ask u. Ques: "ulikuwa umelala?". .nkt. .!!!. Ans: sikuwa nimelala. I was just admiring the insides of my eyelids! 3. A dude asks achiq; "uko facebook?" then the chiq answers; "hapana, niko hapa." 4. Mum to her son headed to the kitchen, "utaniletea maji ukikuja?... Son,"sipitii hiyo route mum, kuna karao!! 5. a dog barks 4rm outside. MUM:did the dog just bark? ME:hapana imekuwa ikiimba reggae. 6. Q: eish..na unakohoa! kwani uko na homa? A:Hapana.. nimefurahi..hivi ndo me hucheka ,,,, nkt! 7. Friend 1: unafua Friend 2: hapana na rescue sabuni imedrown 8. Kid: Daddie umelala Dad: hapana nafanya rehearsal ya ku die 9. Friend 1: nimekam kuwatembelea.. Friend 2: uliskia hatujui kutembea ama hatuna miguu?? nkt! 10. Umetoka rave unastagger and your mom asks you... ’kwani umelewa?’ .....u answer.... ’Hapana, na act movie ile ya drunken master, 11. Sam: Oh, Umenunua Toyota? David: Wao huandika toyota ndio isiibiwe, lakini ni Benz. 12. Steve: Sijaona ile mbuzi yenu ya black for long. Kwani mliichinja? Tom: Hapana, imeenda U.S. for further studies. 13. Person 1: Nimeskia ati hiyo movie mpya ina-star Will Smith. Person 2: Yule Will Smith wa Men in Black? Person 1: Hapana, wa Vioja Mahakamani 14. On seeing an accident a lady asks; "hiyo ni gari imepata accident" dude; "Hapana, ni dere ameamua ku park upside down" 15. Customer: Hizi soda ni za kuuzwa? Reply; Hapana, ni za ku drink! 16. Passanger: Tao ni how much?? Conductor: mi sijui!! kwani inauzwa?? 17. Beshte; Haiya, kwani ume change hairstyle? Ans; Hapana, nimebadilisha kichwa! 18. Kwa stage ya mat: unangoja mat? Hapana I’m waitin for the next solar eclipse!!!!
Posted on: Mon, 05 Aug 2013 16:02:16 +0000

Trending Topics



iv class="sttext" style="margin-left:0px; min-height:30px;"> What nationality is the person who wrote this ?. I bet you that

Recently Viewed Topics




© 2015