!.SUALA LA KUJIAJIRI KWA WASOMI HASA WAHITIMU WA VYUO - TopicsExpress



          

!.SUALA LA KUJIAJIRI KWA WASOMI HASA WAHITIMU WA VYUO VIKUU.! -Leo nimepata bodaboda nikiwa napga stori na dereva wakati wa mazungumzo kumbe yeye kamaliza mwaka huu #UDSM kasoma education kwa muda ambao anasubiri ajiri ameamua kujishughulisha kwa kuendesha pikipiki ambapo kasema kwa siku anapata hadi elfu ishrin kutokana na siku yenyewe.. -Nimegundua kitu kuwa sio wahtimu kushnda barabaran kusaga lami maofsn mnaweza kujiajiri kama huyo kijana
Posted on: Tue, 15 Oct 2013 10:29:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015