SURA YA KUMI NA SITA MENGINEYO 236.-(1) Mtu yeyote mwenye dhamana - TopicsExpress



          

SURA YA KUMI NA SITA MENGINEYO 236.-(1) Mtu yeyote mwenye dhamana ya kazi yoyote iliyoanzishwa na Katiba hii pamoja na kazi ya Waziri, Naibu Waziri au Mbungeanaweza kujiuzulu kwa kutoa taarifa iliyoandikwa na kutiwa saini kwa mkono wake, kwa kufuata masharti yafuatayo: (a) iwapo mtu huyo aliteuliwa au kuchaguliwa na mtu mmoja, basi taarifa hiyo ya kujiuzulu atawasilisha kwa mtu huyo aliyemteua au aliyemchagua, au iwapo aliteuliwa au kuchaguliwa na kikao cha watu, basi taarifa hiyo ya kujiuzulu ataiwasilisha kwenye kikao hicho; (b) iwapo mtu huyo ni Rais, basi taarifa hiyo ya kujiuzulu ataiwasilisha kwa Spika; ...
Posted on: Thu, 29 Aug 2013 09:16:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015