Sakata la Al-Shabaab lawageukia Uhuru, Ruto Soma hapa..... - TopicsExpress



          

Sakata la Al-Shabaab lawageukia Uhuru, Ruto Soma hapa..... RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Makamu wake, William Ruto, sasa wanakabiliwa na shinikizo la kutakiwa kujiuzulu, kutokana na shambulio la kigaidi kwenye maduka ya Westgate. Hatua hiyo imekuja baada ya kuwako kwa habari kwamba viongozi hao wa juu pamoja na serikali kwa ujumla walikuwa na taarifa za kutokea kwa shambulio hilo kabla halijatekelezwa Septemba 21, mwaka huu. ...
Posted on: Sun, 06 Oct 2013 07:16:58 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015