Sasa baada ya huyu dem wangu Mluhya kuingia box, nilimtake - TopicsExpress



          

Sasa baada ya huyu dem wangu Mluhya kuingia box, nilimtake lunch. Nikaamua ale kuku na chips. Kuku full Dem: (akaangalia chips na kushake kichwa) Poss! ati hifi fichips ni shilingi mia mocha.... Wa! umeipiwa wewe.... mama Nasambu anapikanga fichips fitamu... fingi fya ten pop! ati hifi ni fya 100!! (akanza kula) Me: Hey... Kuku full hapo!(dem akasmile) Dem: Aki vane papy mbona unanitieko manyeke kwa hoteli... kuku full!!!?? Yote ni yetu?? Aki papy nakupendako sana. (Kuku ikaletwa. kuku inavutia. Dem alipoingalia. akaacha kula chips na akachange sura) Dem: Kwani hifi fimutu finatuoneko sisi ni rusungu ama nini? Ati hii ni kuku full. filenje fiko wapi...?? Yaani mikuu hakuna. Hata kichwa.. ... hakuna. Woii mama wee! Imondo na mala hakuna... Mungu saitia. Hii si kuku... ni mfano wa..... Me: (nimeabika)....... Baby tulia..... nitakuelezea tukifika hom.. (akatulia akaendelea kula. akamaliza chips na kutulia) Dem: Nimemaliseko kuonja sasa nataka kukula. Me: Ati!!!??? Dem: Ukali.... Niletewe ukali. (ilibidi niitishe ugali moja. ilipoletwa dem akaingali) Dem: Aki vane ni kitoko ache.... hawachui unga unatoka kwa pwana wangu... si una tinga papy... (Kabla dem hajakula, alikata ugali kiasi... akasimama. akaigongesha kwa ukuta... ikakwama... halafu..) Dem... Haichaifa.... woi...n mbichi hii ukali... mamaweee.... aki haka kaoteli ni pure..
Posted on: Thu, 04 Jul 2013 06:54:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015