Serikali iwape waalimu pesa zao vile imewapa wabunge. Mbona - TopicsExpress



          

Serikali iwape waalimu pesa zao vile imewapa wabunge. Mbona mwalimu haeshimiwi Kenya? Kawahida kaimenyi hana watoto hata wajukuu public shool. Kethi agombee na atshinda obama amwone mandela hospitali lakini viongozi wa afrika wanaongea tu juu ya hague. Is kenya a country or babel. Security a problem. Teachers strike. Devolution shida. Uchumi haujengeki Since Moi hakuna mwenye ako na vifaa vya kujengea uchumi. How can teachers only wait for improvement of economy. New goverment jikakamue. Wacha ulavi wa wabunge .
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 16:43:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015