Shkamoo Whatsap! Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap - TopicsExpress



          

Shkamoo Whatsap! Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap yuko interested kuchat.. Hata kaa ni mpenzi wako...Yaani hamna kitu nalaani kwenye Whatsap kama hii kitu inaitwa Last Seen at Imekaa kimbea kweli,sometimesmtu umeboreka,haukokwenye mood ya mahaba,ila ukionekana uko online na hujamtumia SMS laaziz eti anawaka,anhaaa unachat na mahawara zako eeh,uko online hata hunitext Kwani kuwa online lazima nikutext??Sina watu wengine wa kuchat nao hadi na wewe uwemo?? Mbona mapenzi yanakuwa magumu hivi jamani?? Nikikutana na owner wa Whatsap,sijui anaitwa Jimmy Balsamik ntamwambia atoe hii icon ya kimbea,inavunja sana ndoa.. Last seen my foot...Mtu unaaga sa4 umelala unaonekana last seen sa9 usiku,sikia hilo zogo lake,kumbe maskini ulishtuka kwenda kukojoa ukasoma msg ukalala,utajieleza kama katibu wa CUF na hutaeleweka... Shkamoo Whatsap!
Posted on: Fri, 08 Nov 2013 17:47:53 +0000

Trending Topics



NAIVE LA MISION FUE CUMPLIDA Si yo fuera Nicolás Maduro
Ultima imbecilitate pe tema accidentului de azi dimineata. Spusa
Man the kids born in 2004 til now are a mess. I thought my 4 older
“American foreign policy was far less worried about Communist
Cyber Monday Black Friday Deals KYB 564002 MonoMax Heavy Duty
3 Months Accounts Admin Needed! $7/hr @ Raffles Place Accounts

Recently Viewed Topics




© 2015