Shuhuli katika afisi ya ardhi mjini Kilifi zimekwama kwa muda - TopicsExpress



          

Shuhuli katika afisi ya ardhi mjini Kilifi zimekwama kwa muda baada ya wananchi wa eneo la Mavueni kuandamana hadi afisi hiyo baada ya kuarifiwa kuwa hawawezi kupata vyeti vyao vilivyotolewa na rais uhuru Kenyatta kwa kuwa bado viko na utata. Wananchi hao wakiongozwa na mwenyekiti wa ardhi katika eneo la Mavueni “B” Said Mrera wameeleza kuwa wamekuwa wakienda katika afisi hiyo kutafuta vyeti hivyo bila ya kufanikiwa
Posted on: Wed, 11 Sep 2013 15:17:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015