Si mshabiki sana wa siasa za CCM, ila ninaona kitu ambacho - TopicsExpress



          

Si mshabiki sana wa siasa za CCM, ila ninaona kitu ambacho sikuwahi kukifikiria sana kichwani. Lakini nimejiuliza sana: Richmond, Dowans, and then Symbion; tena inatetewa na Rais wa nchi husika. SYMBION! Lowassa ana kosa gani? Nani hasa alikuwa tatizo la hili jambo? Lowassa anaweza kuwayumbisha sana CCM kama, kama, kama moyo wake umebeba fundo la ukweli ya unga wake kumwagika, wakapata wanaosema tupigwe. MUNGU KISASI SI JUU YETU, TULIPIZIE KISASI, TUMECHOKA!
Posted on: Wed, 17 Jul 2013 16:13:09 +0000

Trending Topics



ght:30px;"> TODAY’S OFFICE OF READINGS 17 December 2014 Lord, + open my
How is 3D #scanning applicable to #restoration, #renovations and
nor-coordination-and-horizontal-integration-in-topic-188467324676229">The problems of donor coordination and horizontal integration in
Black Friday and Cyber Monday # Acustica by Mauricio Kagel (2008)

Recently Viewed Topics




© 2015