Si nimepatana na kidem flani stage nikaona kikona mende kwa weav - TopicsExpress



          

Si nimepatana na kidem flani stage nikaona kikona mende kwa weav nikisema wacha nikisaidie..nikamsalimia sasa mrembo ameruka kama mukurino asubuhi ati nani mrembo hapa..ati am not your type nkt.nikakishow nilikuwa nataka kukwambia ukona mende kwa weav...kimesikia kuingia kwa mtungi Ni nini madem wanapenda kuongea vibaya ivi kama watu wa Hawtest hae skul in 254 yaani dem anaongea kama mtu amelewa busaa nkt... #RISH
Posted on: Sat, 26 Oct 2013 08:03:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015