Sijui ni kwer jamani et nimesikia kuwa et huyu msanii wetu maarufu - TopicsExpress



          

Sijui ni kwer jamani et nimesikia kuwa et huyu msanii wetu maarufu hapa tanzania anaitwa #diimond alipiga picha na #P-squar et cha kushangaza wasanii hao wametua reo tanzania kutokea #nigeria wameojiwa na kituo cha radio cha kushangaza wameulizwa et mnamjua #diimond wameshangaa na kudahi kuwa awajawahi kumsikia mtu huyo wakaambiwa alikuja huko kwenu simlipiganae picha #p_squar wakasema tulipiga picha na watu wengi sizani kama tunaweza kumkumbuka....kwakwakwakwa... !
Posted on: Fri, 22 Nov 2013 21:05:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015