Sikia hii MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike? MUME : Yaa - TopicsExpress



          

Sikia hii MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike? MUME : Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala MKE: Na lipstiki kwenye shati? MUME : Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi yetu MKE: Na ile kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali? MUME : Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi MKE: Lazima niulize mie huwa nahakikisha nimeacha kila kitu hukohuko ndio narudi nyumbani MUME : Umesema nini wewe? MKE: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi #team_Katanga & #team_Utaelewa2
Posted on: Sun, 17 Nov 2013 10:42:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015