Stolen Jamaa flani aliingia kinyozini na mtoto wa miaka - TopicsExpress



          

Stolen Jamaa flani aliingia kinyozini na mtoto wa miaka mitano.Yeye akasema anyolewe kwa kichwa na ndevu, ALipomaliziwa, akasema, "haya,endelea kumnyoamwanangu,wacha niende ninunue vitu flani dukani nakuja kumchukua."Mtoto nae akanyolewa .Baada ya saa moja, Jamaa hakurudi, mwenye kinyozi akamwuliza mtoto, "kwani huyu baba yako anarudi saa ngapi?"Mtoto akajibu, "huyo si bàbangu, Amenipata hapo nje akaniambia tuje hapa tunyolewe Bure !!!!"
Posted on: Thu, 08 Aug 2013 15:04:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015