Stress ni....? Unapea dem msupa lift alafu anafaint kwa gari, unampeleka hosi Docta anasema Dem ana mimba na anaanza kukucongratulate akikushow utakuwa a father soon. Unasema wewe si Baba wa huyo mtoto lakini dem anainsist ni wewe...Stress inaongezeka. Mnafanya DNA test kuprove that you are not the father, Result za DNA zinadai U r ni Infertile huwezi zalisha, Atleast unafeel umerelax kiasi juu huyo mtoi si wako. Ukianza kurudi Home unakumbuka home una bibi na watoto watatu Shhyt! Nani basi ndio BABA YAO ? sasa hio ndio Stress.
Posted on: Tue, 25 Jun 2013 09:25:17 +0000