TABIA HIZI ZINAAA KELAA 1.Kukojoa halafu ukimaliza - TopicsExpress



          

TABIA HIZI ZINAAA KELAA 1.Kukojoa halafu ukimaliza unamsalimia mtu kwa mkono. 2. Kuingiza kidole puani halafu unampa mtu mkono. 3. Kutoa makohozi wakati wa kula. 4. Kusimulia movie wakati wenzako wanaitazama mara ya kwanza. 5. kubeep beep kila mara. 6. Kudanganya kwenye simu, niko hapo nakuja kumbe ndio unatoka home. 7. Kukaa siti ya nyuma na kuanza kuweka mikono mbele kwa mtu aliyekaa siti ya mbele. 8. Kuuliza uliza nyakati kila mara, " sasa hivi ni saa ngapi??, sasa hivi ni saa ngapi?? bado dakika ngapi?? " 9. Kutembelea wenzako nyakati za msosi. Ikifika saa sita tu tayari ushafika, halafu stori nyingi, huondoki tu tule. 10. Kukojoa bara barani. asilimia kubwa ya wabongo tuna hizi tabia zinakera
Posted on: Tue, 17 Sep 2013 21:02:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015