TAFRIJA! “Kisafishe kikombe ndani kwanza na nje kutakuwa safi - TopicsExpress



          

TAFRIJA! “Kisafishe kikombe ndani kwanza na nje kutakuwa safi pia”………..Vipi abiria katika gari la Yesu? Karibia ili tuanze safari pamoja ndani ya Chariot ya Tafrija za Kheri njema. …….H/W yetu jana ilikuwa MATHAYO 23:23-26…ilete tuipitie na kusahihisha pamoja.”Chariot controllers” Judy na Musa pamoja nawe hadi saa kenda kamili. …….Kiitikio cha Zaburi:Ee Bwana umenichunguza na kunijua.. Chef Daniel atakuwa nasi katika makala ya msosi wetu wa wiki ili tupike “Chapati” pamoja…Catering Department wakiongozwa na na Gifted Anne watashughulikia kitoweo. Haya!Changamka na kuwachangamsha ndugu zako na usisahau 21 zilizovuma wiki hii.
Posted on: Tue, 27 Aug 2013 07:53:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015