TAFRIJA! Lipua sifa,sifa kwa Mungu Baba lipua...Ni siku ya Ijumaa - TopicsExpress



          

TAFRIJA! Lipua sifa,sifa kwa Mungu Baba lipua...Ni siku ya Ijumaa tarehe 16-08-2013.Karibia kwenye Chariot tusafiri pamoja kama wanatafrija kuanzia sasa hivi hadi saa tisa kamili. Mc Judy tayari,pata nafasi yako tulipue sifa kupitia nyimbo 21 zilizovuma wiki hii. Nyimbo zifuatazo zinang’ang’ania nafasi ya kwanza wiki hii. Chagua wimbo utakaochukua nafasi ya kwanza kwa kupiga kura mara MOJA TU kupitia SMS pekee, nambari 22669. 1. Twabisha hodi-St Paul Mathare 2. Jina la Yesu-St Francis Kasarani 3. Msifuni –St Clare Bahati 4. Yamba Yamba-Holy Spirit 45. Tuchangamke pamoja tunapotamatisha wiki hii!
Posted on: Fri, 16 Aug 2013 07:59:06 +0000

Trending Topics



style="margin-left:0px; min-height:30px;"> Buster update: After figuring out a way to get him up off the

Recently Viewed Topics




© 2015