TAFRIJA! “Nitaziimba sifa zako Bwana,watu wote wakujue,wakupende - TopicsExpress



          

TAFRIJA! “Nitaziimba sifa zako Bwana,watu wote wakujue,wakupende wakutumikie mwishowe wafike kwako juu mbinguni.”…..Haya,karibia na uwaite jamaa marafiki na majirani ili tupate kulipua sifa kwa Mwenyezi Mungu tunapotamatisha juma hili. Mc Judy tayari amechukua nafasi yake katika gari la Yesu.Chukua yako ndugu yangu tuchangamke pamoja. …..H/W ya hiyo jana tuilete tunapomchezea Mungu wetu…Watu wamesema mengi kumhusu Yesu Kristu, Swali ni je, Wewe wasema yeye ni nani? Changamka na kumchangamsha ndugu yako!
Posted on: Fri, 27 Sep 2013 08:00:34 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015