TAFRIJA! “Njooni tumfanyie shangwe Mungu wetu”...Ni siku ya - TopicsExpress



          

TAFRIJA! “Njooni tumfanyie shangwe Mungu wetu”...Ni siku ya kulipua sifa kwa Mungu wetu kuputia 21 zilizovuma wiki hii ndani ya gari la Yesu. Mc Judy na Musa pamoja nawe,pata nafasi yako tusafiri pamoja hadi saa kenda kamili.H/W iletwe tuisahihishe tunapomchezea Muumba wetu na kutamatisha juma hili …..Leo Kinyanganyiro cha nafasi ya kwanza katika zilizovuma kuna nyimbo tatu,tegea utaratibu wa kupiga kura kupitia SMS 22669.
Posted on: Fri, 30 Aug 2013 07:59:32 +0000

Trending Topics




HT: Indonesia U23 0 - 0 Timor Leste U23 Skuat Indonesia muda

Recently Viewed Topics




© 2015