TAFRIJA! Ole wenu waalimu wa sheria na mafarisayo, wanafiki! Mko - TopicsExpress



          

TAFRIJA! Ole wenu waalimu wa sheria na mafarisayo, wanafiki! Mko kama makaburi yaliyopakwa chokaa ambayo kwa nje yanaonekana kuwa mazuri,lakini ndani yamejaa mifupa ya maiti na kila namna ya uchafu.……Karibia kwenye Chariot ya Tafrija za Kheri njema tusafiri pamoja hadi saa kenda kamili,pamoja na controllers wako Judy na Musa…Dereva wetu Yesu Kristu anasubiri mzigo wako,tafadahli mkabidhi. ……..H/W vipi….Mathayo 23:27-32 Kiitikio cha Zaburi.Ee Bwana umenichunguza na kunijua. Tuchangamke pamoja tunaposukuma juma hili huku tukiendelea kupendekeza nyimbo zetu katika orodha ya 21 zilizovuma wiki hii. KARIBU
Posted on: Wed, 28 Aug 2013 08:02:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015