TANGAZO KWA WAPENDA HADITHI. Ninataka kuandika hadithi ya sehemu - TopicsExpress



          

TANGAZO KWA WAPENDA HADITHI. Ninataka kuandika hadithi ya sehemu nne tu, kijihadithi kifupi sana. Unachotakiwa kufanya ni haya. i) Weka jina la hadithi unayotaka itungiwe. ii) Jina la hadithi yako likipata LIKES nyingi, itatungiwa kijihadithi chako. iii) Jina liwe lolote hata la kimapenzi ila halitakiwi kukaa kingono. Hebu tuone nani ataibuka mshindi na kutungiwa kijihadithi chake kifupi. Kijihadithi kitaanza kesho mchana na kitaisha Alhamisi. Kihadithi kitakuwa cha kawaida na si chombezo. Jina litakalokaa kichombezo halitokubaliwa hata likipata like nyingiiiiii. TWENDE KAZI.
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 12:45:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015