TANGAZO LA NAFASI YA KAZI;Uongozi wa Ufalme wa - TopicsExpress



          

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI;Uongozi wa Ufalme wa Mbinguni,wanatangaza nafasi ya kazi ya "MRITHI WA UZIMA WA MILELE" Sifa za mwombaji. 1. Awe amehitimu nakufaulu vizuri masomo ya Imani, Maombi, Ibada na Neno la Mungu, 2. Awe na uwezo mzuri wa kusoma Biblia, 3.Awe ni mtu asiyependa dhambi, na mambo mabaya. Barua zote zitumwe kwa YESU KRISTO; Po box 33:3 YEREMIA, Au andika barua pepe kwa anwani hii, Jesus chirst¡Luka 18;1, Au tupigie simu kwa namba hii Math 7:7. wahi sasa nafasi nichache.
Posted on: Sun, 08 Sep 2013 10:48:33 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015