TOP 5 MOST Booo000OORING towns in kenya! 1.NAKURU -hii ni town - TopicsExpress



          

TOP 5 MOST Booo000OORING towns in kenya! 1.NAKURU -hii ni town nyingine ya kifala sa, it is flooded with washamba from Mau forest, keringet and ravine. Ukiingia kila cyber net iko slow ajabu, utamea ndevu ukiwait! Alafu club za huko wanauza changaa, boring uni, boring colez everythng is jus MBOOring! 2.KISUMU Hata hapa nisiongelee, kila mahali ukitembea, harufu ya samak ama omena, watu wamesoma bt akili haijatoka kwa mawe! Very boring, thou iko well eqquiped! 3. KERICHO hata hapa staongea sana, club 2 ni moja, hakuna ma3 town service, supermarket ni3 2 hehe alafu stage ya magari iko mbali yawa. Story ya cyber, hehe hawajui TFT monitors, bado wanatumia monitor mgongo! Alafu video tapes na combact casette bado inauzwa. Kelele za pikipiki ndio mob yawa pto 4. NAROK Hehe hapa hata sitaki kutaja? SIMPLY DAMN B.O.R.I.N.G! Heri hata nax, hakuna club, kila mahali ni rungu 2, no municipal no nathng! Stadium ni shamba ya ngombe na club 2 imejaa vijana wa NAROK HIGH na O.T.G! 5.KAKAMEGA hehe hapa juu ya feelings, sitaongelea! UKALI UKALI UKALI ndio slogan. Uchawi nayo? Na pota pota simechaa kila mahali pwana! BEST TOWNS TO LIVE IN 1.ELDORET -cheap life, clean town, fast internet, enough unis, 24hs medication e.t.c! What else ? 2.NAIROBI -kitu inaharibu 2 life ni cheap n its insecure tho. Iko juu tho 3.MOMBASA -Ni raha 2pu 4. KITALE -the best place to live, friendly indeed! [N/B LETA FEELINGS NA EVIDENCE]
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 10:29:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015