TYM YA MCHONGOANO IMEFIKA! 1.Uko na nywele mob all over - TopicsExpress



          

TYM YA MCHONGOANO IMEFIKA! 1.Uko na nywele mob all over your body hadi mwili yako yote ni sehemu Nyeti 2. we ni mdark hadi ukisimama kwa wall unakaa corridor.... 3. manzi yako ni msoto hadi hatumii always but sometimes..... 4. uko na mdomo kubwa mpaka unakula chapo ka krips 5. We una makende ndogo hadi manzi yako hukupea bj na straw.... 6. Weh ni fala, leo asubuhi nilikupata umeweka mkate katikati ya barabara... kukuuliza ni nini mbaya, ulinishow ati nangojea jam!! 7. we ni mrefu mpaka una segments kama miwa.... 8. Una shingo refu,hadi ina elbow. 9. wewe ni mweusi mpaka chameleon ikikukanyanga inachanganyikiwa Mkojo wewe Leta yako! #Admin_+254
Posted on: Sat, 16 Nov 2013 14:55:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015