Tangazo Muhimu Kuhusiana na Sikukuu ya EID-EL-FITR mwaka huu - TopicsExpress



          

Tangazo Muhimu Kuhusiana na Sikukuu ya EID-EL-FITR mwaka huu 2013. Sikukuu ya Eid Al-Fitr 2013 [Eid Al-Fitr 1434] Tangazo muhimu kuhusu kusherehekea Sikukuu ya Eid Al- Fitr 2013 / Aid El-Fitr 2013 / Shawwal 2013 Tunayo furaha kuwatangazia kwamba Eid Al-Fitr 2013 (1434) [Aid El-Fitr 2013 (1434)] itakuwa siku ya Alhamisi 8 August 2013 karibia maeneo yote ya DUNIA . Hii ni kwa sababu tarehe 6th August 2013, hapategemewi muandamo/kuonekana kwa mwezi katika eneo lolote duniani mpaka siku ijayo tarehe 7th August 2013, utaonekana karibia kwenye nchi zote za dunia. Hivyo basi, Funga Tukufu ya Ramadhan inatakiwa kuisha Jumatano tarehe 7 th August 2013 na chungu mosi Shawwal 2013 itaanza siku inayofata ambayo ni tarehe 8th August 2013. Tafadhali angalia orodha ya nchi chini zilizopo kwenye mpangilio wa mabara zikionyesha wapi na wapi Sikukuu ya Eid-el-Fitr itasherehekewa siku ya Alhamisi tarehe 8th August 2013. Ikumbukwe kwamba Eid-el-Fitr 2013 ni siku ya Alhamisi tarehe 8th August 2013 karibia katika dunia nzima isipokuwa sehem chache tu kama vile maeneo ya Russia na sehem nyingi tu ya nchi hii. Ingawaje kuna eneo dogo la Russia kuelekea mashariki mwa Okhotsk, haitahusishwa mnamo jioni ya tarehe 7th August 2013. Sawia na maeneo ya kisiwa cha Kiribati na kisiwa cha Arorae.Maeneo ya mashariki mwa visiwa hivyo hayatahusishwa mnamo jioni ya tarehe 7th August. Kuhusu maeneo ya visiwa vya Samoa na Tonga havitahusishwa na ujumla wa visiwa hivyo. Hivyo maeneo ya Kiribati, Samoa na Tonga Eid-el-Fitr 2013 itasherehekewa siku ya Ijumaa tarehe 9th August 2013.Russia, katika eneo dogo la kuelekea mashariki mwa Okhotsk pia watasherehekea Eid tarehe 9th August 2013. Eid-el-Fitr 2013 rasmi ni tarehe 8th August 2013 Na zifuatazo ni ambazo zitasherehekea Eid-el-Fitr siku ya Alhamisi 8th August 2013 AFRICA (54) Algeria Angola Benin Botswana Burkina Burundi Cameroon Cape Verde Central African Republic Chad Comoros Congo Congo, Democratic Republic of Djibouti Egypt Equatorial Guinea Eritrea Ethiopia Gabon Gambia Ghana Guinea Guinea-Bissau Ivory Coast Kenya Lesotho Liberia Libya Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Morocco Mozambique Namibia Niger Nigeria Rwanda Sao Tome and Principe Senegal Seychelles Sierra Leone Somalia South Africa South Sudan Sudan Swaziland Tanzania Togo Tunisia Uganda Zambia Zimbabwe ASIA (44) Afghanistan Bahrain Bangladesh Bhutan Brunei Burma (Myanmar) Cambodia China East Timor India Indonesia Iran Iraq Japan Jordan Kazakstan Korea, North Korea, South Kuwait Kyrgyzstan Laos Lebanon Malaysia Maldives Mongolia Nepal Oman Palestine Pakistan Philippines Qatar Russian Federation * Saudi Arabia Singapore Sri Lanka Syria Tajikistan Thailand Turkey Turkmenistan United Arab Emirates Uzbekistan Vietnam Yemen EUROPE (48) Albania Andorra Armenia Austria Azerbaijan Belarus Belgium Bosnia and Herzegovina Bulgaria Croatia Cyprus Czech Republic Denmark Estonia Finland France Georgia Germany Greece Hungary Iceland Ireland Italy Kosovo Latvia Liechtenstein Lithuania Luxembourg Macedonia Malta Moldova Monaco Montenegro Netherlands Norway Poland Portugal Romania San Marino Serbia Slovakia Slovenia Spain Sweden Switzerland Ukraine United Kingdom Vatican City NORTH AND CENTRAL AMERICA (23) Antigua and Barbuda Bahamas Barbados Belize Canada Costa Rica Cuba Dominica Dominican Republic El Salvador Grenada Guatemala Haiti Honduras Jamaica Mexico Nicaragua Panama Saint Kitts and Nevis Saint Lucia Saint Vincent and the Grenadines Trinidad and Tobago United States Of America S. AMERICA (12) Argentina Bolivia Brazil Chile Colombia Ecuador Guyana Paraguay Peru Suriname Uruguay Venezuela OCEANIA (12) Australia Fiji French Polynesia Marshall Islands Micronesia Nauru New Zealand Palau Papua New Guinea Solomon Islands Tuvalu Vanuatu * Note: Kwa nchi ya Russia kuelekea mashariki mwa Okhotsk kujua tarehe ya SIKUKUU tafadhali soma maelezo machache hapo juu.
Posted on: Wed, 07 Aug 2013 10:59:33 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015