Tangu umeanza kusoma story zangu. ni ipi imekuvutia sana kati ya - TopicsExpress



          

Tangu umeanza kusoma story zangu. ni ipi imekuvutia sana kati ya hizi na ipi ungependa uisome katika page ya uwanja wa simulizi hivi karibuni.. *** Play gal (simulizi ya kusisimua/kukuchekesha na hata kutisha) ** Sitaki tena (riwaya ya mapenzi/hisia/mauaji) ** Endless night (simulizi ya kusisimua na kutisha) ** Fulani Asijue (simulizi yenye siri ya ukweli/maisha) ** Play boy (simulizi ya mapenzi) ** Lost beauty (Maisha/hisia/mapenzi/mauaji) ** Nililala na maiti 20 ili niolewe na Rais (simulizi ya kutisha mwanzo mwisho) ** Chozi langu kifuani mwako (Riwaya ya maisha/hisia/mapenzi) ** Bonge la bwana (Vimbwanga) ** Nitakupenda usiku tu (chombezo) ** Inatosha (Simulizi/mapenzi/mauaji/mateso) ** Niache na moyo wangu (Riwaya ya kutisha /manyanyaso/mateso/mapenzi/machozi) ** Dear Juliet (Riwaya mapenzi/ndoa/kudharauliwa/mateso) **Until I die (Mishemishe/mauaji/visasi/mapenzi) ** Mamuu wa facebook (Simulizi ya kusisimua/kuchekesha/mapenzi) ** Dear Facebook (barua ya kusisimua/kuchekesha/kukuliwaza/ukweli ndani yake wa facebook) ** Endless Tears (Riwaya ya mapenzi/mateso/dhuluma) ** Paja la kushoto (Chombezo) ::: Na nyingine nyingi sana tu..:: Je unapenda Riwaya ipi kati ya hizo hapo juu. Unapenda Riwaya au simulizi za aina gani? ::ANGALIZO :: Itakayopigiwa kura nyingi ndio itakayotoka baada ya simulizi moja kuisha hapa uwanjani
Posted on: Sat, 23 Nov 2013 08:09:40 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015