Tanzania Bila ujambazi inawezekana,Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Dr.Mvungi,ki ukweli ni masikitiko makubwa hasa tunapopoteza nguzo ktk nchi yetu,Tambueni wazi lenye mwanzo halikosaji mwisho,Natafakari haya mambo yataisha lini,la Kibanda,ulimboka mpaka leo hayajapatiwa majibu na sasa yamemkuta Mvungi tujiulize nani atafuata?kiukweli mtu yoyote alie hai ana haki ya kufa lakini kwa mpango wa mungu na si wa mwanadamu,Naomba serikali yetu isiwafumbue macho hawa wanaofanya matukio ya namna hii,Doctor Mvungi alitegemewa na watanzania wote je hao waliofanya hayo matukio wanategemewa na nani?MUNGU MLAZE PEMA PEPONI KAMANDA WETU MVUNGI
Posted on: Wed, 13 Nov 2013 07:55:21 +0000