The Newspaper Act 1976 chini ya kifungu cha 25 inampa mamlaka - TopicsExpress



          

The Newspaper Act 1976 chini ya kifungu cha 25 inampa mamlaka Waziri anayeshughulikia mambo ya habari kuzuia kuchapishwa kwa toleo lolote la gazeti, ikiwa machapisho ya gazeti hilo yanachochea uvunjifu wa Amani n.k, na kwamba itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote atakayechapisha, kuuza ama kusambaza gazeti hilo baada ya amri ya Waziri kutolewa………..Je upande wa mitandao ikiwa ni pamoja na Blog, social media n.k hayana uchochezi ????? Nauliza Wajameni
Posted on: Mon, 30 Sep 2013 16:59:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015