The TakeOver OnAir OKT-15 J4 PUNCH VOCAL By Viva Consious Feat. - TopicsExpress



          

The TakeOver OnAir OKT-15 J4 PUNCH VOCAL By Viva Consious Feat. Tash ndo a Iliyoanzisha PINDI la Leo....! MEZANI: Hebu Nipe Mstari Kwenye Wimbo au Ngoma ya Mtu Ambao unaukubali Kinoma, Inaweza pia kuwa ni NUKUU au Mstari wako Binafsi...? Niambie Long Weekend Imekwendaje na Umejiandaje na Skukuu ya IDD hapo KESHO..? TKOnline: Chagua Ngoma Moja kwa Watu WATATU tu.... KONA IX: Madee, Young Killah na Baucha Wote Wametekisha na Mi......? Follow me on Twitter @danchibo SMS me: Anza kwa kuandika TKO acha Nafasi Andika Ujumbe Wako na Tuma kwenda 15522 Tupo na Coca Cola na Airter Yatoshaaaa a.k.a Baba Lao...
Posted on: Tue, 15 Oct 2013 11:24:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015