Traffic in Dar es Salaam = loss of over 400 Billion - TopicsExpress



          

Traffic in Dar es Salaam = loss of over 400 Billion annually. Kweli BRN ndio mahala pake. Lowasa sijui na yeye watamnaniiii. Naona kaongea sana leo bungeni. MJOMBAAAAA Usiwe na wasi wasi. Ile zawadi ya Mo Ibrahin na 2015 haitakuwepo. Kamueni kabisa mtumalize. Mi naomba mnipe angalau kalori kamoja tu nilete mawe ya Mwanza, Singida na Bukoba Dar. Ili mjenge haya majengo marefu kwa urahisi zaidi. Angalau tupendezeshe mji. Maana naona reli mmekataa kabisa. Bei ya kokoto bukoba ni 60,000 kwa lori la tani 7. Hapa Dar ni 220,000. Mawe lori Bukoba ni elfu 30,000 hapa sijui (maana hayapo) Kwahiyo kama mmenisikia naomba ombi langu mlipitishe tu. Nilete mawe Dar.
Posted on: Mon, 04 Nov 2013 17:29:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015