Tume ya uchaguz ya Mali imemaliliza kuhesabu kura, na hakuna - TopicsExpress



          

Tume ya uchaguz ya Mali imemaliliza kuhesabu kura, na hakuna mshindi saahihi wa kiti cha urais kwa duru hii ya kwanza, hivo tume imeamuru kura zipigwe kwa duru ya pili ili apatikane Rais, ushindani mkali ni kati ya Waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Hon. Keita na aliyekuwa Waziri wa fedha Hon. Cisse, guys, lets keep on praying for these people, they need their country in peace, thnx in advance coz i knw u will.
Posted on: Fri, 02 Aug 2013 22:16:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015