ULEVI NI NOOOOOOOOMA.!!! Mlevi mmoja aliingia kwenye matatu na - TopicsExpress



          

ULEVI NI NOOOOOOOOMA.!!! Mlevi mmoja aliingia kwenye matatu na kukaa siti ya mbele, akaweka begi lake kwenye siti kulia kwake kisha akalala. Baada ya muda akaingia mlevi mwingine akatoa lile begi, akaketi yeye...naye akalala. Mlevi wa kwanza alipoamka bila kuangalia akafungua zipu ya mlevi mwenzake akijua anafungua begi lake...Akaanza kupapasa ndani, kwa hasira akauliza, "NANI KAWEKA NDIZI MOJA, NYANYA MBILI NA STEELWIRE KWENYE BEGI LANGU!!"
Posted on: Wed, 14 Aug 2013 05:20:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015