ULEVI NOUMAAAAAAAA!! Mlevi m1 alipanda daladaka na kukaa cti ya - TopicsExpress



          

ULEVI NOUMAAAAAAAA!! Mlevi m1 alipanda daladaka na kukaa cti ya mbele akaweka begi kulia kwake kisha akalala,punde akapanda mlevi mwingine akalitoa lile begi akakaa yeye nae akalala mara akaamka yule mlevi wa1 akafungua zipu ya suruali ya mlevi mwenzie akijua anafungua begi lake, akaingiza mkono pale alipofungua zipu akaanza kupapasa, kwa hacra akauliza: Aaakh! Huyu ninani aliyeweka Ndizi,Nyanya na Steel Wire kwenye begi langu!!!????,,,,,,,,,, HAVE A NICE DAY ALL OF THEM!!!
Posted on: Tue, 10 Sep 2013 11:04:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015