UPANDE WA KWANZA: MAJUKUMU ya ndani ya NDOA yanatakiwa yafanyike - TopicsExpress



          

UPANDE WA KWANZA: MAJUKUMU ya ndani ya NDOA yanatakiwa yafanyike kwa MSUKUMO wa MAPENZI. Hapana SHAKA pale mapenzi yatakapotawala majukumu ya NDOA basi kila MMOJA atafanya analolifanya kwa FURAHA na asipoweza kulifanya kwa dharura fulani BASI mwenza atakuwa tayari kulibeba jukumu hili kumsaidia MWENZAKE. UPANDE WA PILI: MAJUKUMU ya ndani ya NDOA yanapofanywa kwa MASHARTI na BILA kuzingatia MAPENZI basi kinachofuata ni KUKOMOANA na KULAZIMISHANA , hali ambayo itapelekea KUSUTANA na MAJUKUMU kuachwa pale mmoja anapodharurika. KIFUNGIO: Tuzitawaleni NDOA zetu kwa MAPENZI ili nyumba zetu zijae FURAHA na UTULIVU. Mola wetu tusaidie.
Posted on: Tue, 08 Oct 2013 07:58:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015