*****USIDHARARU UJUMBE HUU.UKIMALIZA KUSOMA POST KTK WALL - TopicsExpress



          

*****USIDHARARU UJUMBE HUU.UKIMALIZA KUSOMA POST KTK WALL YAKO***** KING OF TALENT ARTS GROUP Hiki kikundi kinachofundisha sanaa mbalimbali kama vile:- >KUIGIZA (Hapa nazungumzia Filamu na Tamthilia na maonyesho mbalimbali) >KUIMBA (Hapa nazungumzia Ngoma za asili na hata miziki ya kitanzania na nje ya nchi) >KUCHEZA (Njimbo zozote zile) >KUCHORA >NA MAMBO YOTE YANAYO JUMUHISHA SANAA. Kikundi hiki kinapatikana Manzese Tip Top katika mkoa wa Dar es salaam,karibu na shule ya msingi ya ukombozi au sehemu ya tutionb ya K.O.T ACADEMIC CENTER. Kujiunga na kikundi hiki unalipia fomu ya kujiunga kwa usalama wako kwa shilingi 10000 tu! Kama unapenda kujiunga na kikundi hiki,tafadhari wasiliana na sisi kwa namba hiyo hapo chini 0719 112500 au 0784 563031 Na kwa habari mbalimbali za kikundi tafuta page yetu LIKE page yetu KING OF TALENT ARTS GROUP UKIMALIZA KUSOMA PLZ SHARE UJUMBE KISHA LIKE PAGE.ILA NJOO UJIUNGE LEO.
Posted on: Thu, 10 Oct 2013 10:48:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015