USIKATE TAMAA - (Nukuu) "Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9" - - TopicsExpress



          

USIKATE TAMAA - (Nukuu) "Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9" - Oprah Winfrey "Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo" - Bill Gates "Kwenye Maisha ya Utotoni, Nilidhurumu Viatu" – Abraham Lincoln "Nilipata sana shida katika kipindi chote nilichokuwa Shule" - Dr Ben Carson "Nilidhurumiwa magari mawili aina ya Hammer, Dollas Million 980 na Gorofa mbili Pacha maeneo ya Posta Dar es Salaam" –TEMBA NASSER "Nilikuwa nauza Chai Dukani ili niweze kupata Hela kwa ajili kufanikisha vya Mazoezi" - Lionel Messi "Nilialala Sakafuni kwenye Vyumba vya Marafiki , nikiwa nakusanya Chupa za Coke kwa ajili ya Hela ya Chakula, na pia kupata Chakula cha Bure cha Wiki kinalichotolewa na Wahisani" - Steve Jobs "Mwalimu wangu alikuwa akiniita Anayefeli" – Tony Blair KUMBUKA: Maisha sio kile ambacho hujakifanya mpaka sasa, ila ni juu ya kile ambacho bado una muda na uwezo wa kukifanya, hivyo….. USIKATE TAMAA…! Kati ya yote na Kinachojalisha Zaidi, Sio hatua ya kwanza ila hatua ya Mwisho, Ambayo hutuonyesha ni kwa jinsi gani tumekimbizana na Maisha….! Like na Share kama unazikubali harakati za hawa katika kutafuta... USIKATE TAMAA - (Nukuu) "Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9" - Oprah Winfrey "Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo" - Bill Gates "Kwenye Maisha ya Utotoni, Nilidhurumu Viatu" – Abraham Lincoln "Nilipata sana shida katika kipindi chote nilichokuwa Shule" - Dr Ben Carson "Nilidhurumiwa magari mawili aina ya Hammer, Dollas Million 980 na Gorofa mbili Pacha maeneo ya Posta Dar es Salaam" –TEMBA NASSER "Nilikuwa nauza Chai Dukani ili niweze kupata Hela kwa ajili kufanikisha vya Mazoezi" - Lionel Messi "Nilialala Sakafuni kwenye Vyumba vya Marafiki , nikiwa nakusanya Chupa za Coke kwa ajili ya Hela ya Chakula, na pia kupata Chakula cha Bure cha Wiki kinalichotolewa na Wahisani" - Steve Jobs "Mwalimu wangu alikuwa akiniita Anayefeli" – Tony Blair KUMBUKA: Maisha sio kile ambacho hujakifanya mpaka sasa, ila ni juu ya kile ambacho bado una muda na uwezo wa kukifanya, hivyo….. USIKATE TAMAA…! Kati ya yote na Kinachojalisha Zaidi, Sio hatua ya kwanza ila hatua ya Mwisho, Ambayo hutuonyesha ni kwa jinsi gani tumekimbizana na Maisha….! Like na Share kama unazikubali harakati za hawa katika kutafuta... USIKATE TAMAA - (Nukuu) "Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9" - Oprah Winfrey "Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo" - Bill Gates "Kwenye Maisha ya Utotoni, Nilidhurumu Viatu" – Abraham Lincoln "Nilipata sana shida katika kipindi chote nilichokuwa Shule" - Dr Ben Carson "Nilidhurumiwa magari mawili aina ya Hammer, Dollas Million 980 na Gorofa mbili Pacha maeneo ya Posta Dar es Salaam" –TEMBA NASSER "Nilikuwa nauza Chai Dukani ili niweze kupata Hela kwa ajili kufanikisha vya Mazoezi" - Lionel Messi "Nilialala Sakafuni kwenye Vyumba vya Marafiki , nikiwa nakusanya Chupa za Coke kwa ajili ya Hela ya Chakula, na pia kupata Chakula cha Bure cha Wiki kinalichotolewa na Wahisani" - Steve Jobs "Mwalimu wangu alikuwa akiniita Anayefeli" – Tony Blair KUMBUKA: Maisha sio kile ambacho hujakifanya mpaka sasa, ila ni juu ya kile ambacho bado una muda na uwezo wa kukifanya, hivyo….. USIKATE TAMAA…! Kati ya yote na Kinachojalisha Zaidi, Sio hatua ya kwanza ila hatua ya Mwisho, Ambayo hutuonyesha ni kwa jinsi gani tumekimbizana na Maisha….! Like na Share kama unazikubali harakati za hawa katika kutafuta...
Posted on: Thu, 18 Jul 2013 19:25:26 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015